Skip to main content

Posts

Featured

Huyu Ndio Mwigizaji Brad Pitt Kutoka Marekani

Dec 22, 2019 9:27 AM Desemba 18, 1963 alizaliwa mwigizaji na prodyuza wa filamu nchini Marekani maarufu kwa jina la Brad Pitt. Jina lake halisi ni William Bradley Pitt. Nyota huyo ametunukiwa tuzo nyingi na ameshiriki pia katika utoaji wa tuzo mbalimbali hapa ulimwenguni. Miongoni mwa tuzo ambazo Brad Pitt ametunukiwa ni ile ya Academy na Primetime akiwa na kampuni lake la Plan B Entertainment. Brad Pitt alizaliwa mhini Shawnee huko Oklahoma kwa wazazi William Alvin Pitt ambaye alikuwa mfanyakazi wa kampuni ya malori na mama yake alifahamika kwa jina la Jane Etta aliyekuwa mshauri wa shule. Licha ya kuzaliwa huko Oklahoma lakini alikulia huko Springfield, Missouri ambako wadogo zake wengine Douglas Mitchell (1966) na Julie Neal (1969). Alikulia katika familia ya Kikristo ya waumini wa kanisa la Baptist. Baadaye Brad Pitt aligeuka na kuachana na imani hiyo na kujiunga na imani za miungu. Akiwa Springfield alipaita mahali pale kuwa ni nchi ya Mar...

Latest Posts